LYRICS   [ World ↓ ]
Gebruikernaam:
Wagwoord:

Jy jou wagwoord vergeet?
Registrasie!

Boney M.

Voeg 'n foto!

Malaika

Deur: Boney M.
Album: Boonoonoonoos
Land: *****
Soort musiek: *****
Ranking: 17037 ↑+2666

Boney M. » Malaika

                                  Malaika, nakupenda Malaika.	
Malaika, nakupenda Malaika.
Nami nifanyeje, kijana mwenzio,
Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.

Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.

Pesa zasumbua roho yangu
Pesa zasumbua roho yangu
Nami nifanyeje, kijana mwenzio,
Ningekuoa Malaika.

Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.

Kidege, hukuwaza kidege.
Kidege, hukuwaza kidege.
Nami nifanyeje, kijana mwenzio,
Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.

Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.

Video [+ Voeg +]

daar is geen video vir hierdie lirieke. Jy kan voeg deur te kliek op die skakel hieronder.

[+ Voeg 'n video +]

Boney M. » In die album

I Shall Sing
Boonoonoonoos
Consuela Biaz
Jimmy
Malaika
Goodbye My Friend
Silly Confusion
Breakaway
Homeland Africa (ship Ahoi)
Train To Skaville
Sad Movies
Ride To Agadir
We Kill The World (don't Kill The World)
African Moon

Die kommentaar...